Kamati kuu ya Halmashauri kuu CCM kuanza hii leo

Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi Taifa, Abdulrahman Kinana

Kamati kuu ya Halmashauri Kuu ya Chama cha Mapinduzi (CCM, inatarajiwa kuanza hii leo Mjini Dodoma,ikiwa ni sehemu ya maandalizi ya awali ya Mkutano Mkuu maalumu wa CCM taifa.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS