Rais Magufuli ateua maDC 139 na kupangua maRC Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli leo tarehe 26 Juni, 2016 amefanya mabadiliko madogo katika safu ya wakuu wa mikoa na amewateua wakuu wa wilaya 139. Read more about Rais Magufuli ateua maDC 139 na kupangua maRC