Rais Magufuli ataka jeshi polisi kukabili uhalifu Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Pombe Magufuli amelitaka jeshi la Polisi kutumia mbinu za medani linapokabiliana na matukio ya uvunjifu wa amani nchini. Read more about Rais Magufuli ataka jeshi polisi kukabili uhalifu