Wanaochochea Migogoro migodini wakamatwe-Muhongo
Waziri wa Nishati na Madini Prof. Sospeter Muhongo, amevitaka vyombo vya ulinzi na usalama mkoani Mara, wale wote watakaoendeleza uchochezi na migogoro katika eneo la Mgodi la kampuni ya ACACIA North Mara bila kujali kiongozi.
