Mtwara kumaliza changamoto sekta ya elimu
Mkoa wa Mtwara umeanzisha mpango wa Benki ya Matofali ambao unatekelezwa katika ngazi za mitaa na vijiji, ili ifikapo mwezi Agosti mwaka huu walengwa watimize idadi ya matofali milioni moja katika kila mtaa na kijiji.