Rais Uhuru Kenyatta wa Kenya akikagua Majeshi ya Usalama nchini humo
Watu kadhaa wanaripotiwa kufa ama kupotea wakiwa mikononi mwa vyombo vya usalama nchini Kenya, wakati nchi hiyo ya Afrika Mashariki ikipambana na wanamgambo wa kundi la al-Shabaab la Somalia.