Mabwepande wamuomba Lukuvi kuingilia kati Mgogoro
Wakazi wa eneo la Kinondo ya Mabwepande, jijini Dar es Salaam, wamemuomba Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, kufika katika eneo lao ili kutatua mgogoro wa ardhi uliopo baina yao na Waziri Mkuu Mstaafu Frederick Sumaye.