Serikali yatenga ruzuku kwa wachimbaji wadogo
Serikali imetenga fedha ambazo zitawapa wachimbaji wadogo wa madini, kwa ajili ya kuendeleza na kupanua shughuli zao, kukuza mitaji na kuendeleza uthaminishaji wa madini ili waweze kukuza uchumi wao na nchi kwa ujumla.
