CHADEMA yamshitaki Magufuli, EAC
Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) leo kimefungua kesi ya Kikatiba katika Mahakama ya Afrika Mashariki, wakimshitaki Mwanasheria Mkuu wa serikali nchini Tanzania kwa uvunjaji wa katiba ya Jumuiya ya Afrika Mashariki.

