Hatujaingia hatua ya makundi kushangaa - Mwambusi

Kocha Msaidizi Juma Mwambusi (Katikati) Kocha Mkuu wa Yanga Hans van der Pluijm (kushoto) na Kocha wa makipa Juma Pondamali

Kocha msaidizi wa Yanga Juma Mwambusi amesema, wamejiandaa vizuri kuweza kukabiliana na TP Mazembe hapo kesho katika mchezo wa Kundi A Kombe la Shirikisho Afrika Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS