"Na mimi natafuta kiki nitoke" - Kala Jeremiah Msanii kala Jeremiah amesema kitendo cha wasanii kuendeleza kiki ili waweze kuzungumziwa kwenye media kuliko kazi zao, kinaua soko la muziki na kuwaharibia kwa mashabiki. Read more about "Na mimi natafuta kiki nitoke" - Kala Jeremiah