Serikali haitalipa fidia kila kitu kwenye ujenzi Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano Profesa Makame Mbarawa amesema kwamba serikali haitaweza kulipa fidia kwa kila kitu katika ujenzi wa barabara nchini kwani ujenzi wa barabara ni ghali sana. Read more about Serikali haitalipa fidia kila kitu kwenye ujenzi