Curry ajutia kuikosa Olimpiki.

MVP wa NBA Stephen Curry akionyesha ubora wake.

Nyota wa Golden State Warriors Stephen Curry amesema hakufurahia uamuzi wake wa kujiondoa kwenye kikosi cha Marekani kinachoelekea katika mashindano ya Olimpiki jijini Rio nchini Brazil.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS