Mgodi watoa vifaa tiba kwa hospitali ya Muhimbili
Mgodi wa Dhahabu wa Geita Gold Mine - GGM, umetoa msaada wa vifaa tiba vyenye thamani ya shilingi milioni 23 ili kusaidia jitihada za serikali za kuboresha huduma za afya kwenye kitengo cha watoto katika Hospitali ya Taifa Muhimbili (MNH).