Nchi za Kiafrika zatakiwa kuongeza wigo wa mapato

Katibu Mkuu wa UNCTAD, Dkt. Mukhisa Kituyi

Nchi za Afrika zinapaswa kuongeza wigo wa vyanzo vya mapato ili kufadhili maendeleo yao, la sivyo utegemezi wa mikopo utakwamisha utekelezaji wa malengo ya maendeleo endelevu.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS