Sadio Mane mchezaji ghali zaidi Afrika

Klabu ya Liverpool imekamilisha shughuli ya kumsajili Sadio Mane kwa kima cha paundi milioni 34 kutoka katika klabu ya Southampton ambapo hatua hiyo inasababisha yeye kuwa mcheza soka ghali zaidi barani Afrika.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS