Kiki zamponza Kalla Jeremiah
Mkali wa Hip Hop Kalla Jeremiaha ameongea na Enews na kueleza sababu zinazopelekea yeye kuonekana kama amepotea kwenye muziki na kusema sio kweli kwamba kapotea bali ni kwa sababu za kujiweka mbali na kiki zisizo na msingi.