Amuua mwanaye na kumtupa mtoni ili aolewe

Mto

Katika hali isiyokuwa ya kawaida binti wa miaka 17 Vumilia Kyando mkazi wa Makete mkoani Njombe amemnyonga na kumtumbukiza kwenye mto mwanaye wa kumzaa John Kyando kwa sababu ya kupata mchumba .

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS