Watu 36 wauwawa uwanja wa ndege Uturuki Mashambulizi ya kutumia bunduki na bomu katika uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Ataturk Jijini Istanbul yameuwa watu 36 na kujeruhi wengine zaidi ya 140. Read more about Watu 36 wauwawa uwanja wa ndege Uturuki