Madereva watishia kugoma mkoani Mbeya
Madereva wanaotumia kituo kikubwa cha Mabasi cha jijini Mbeya wametishia kugoma kutoa ushuru,ikiwa serikali itashindwa kutatau changamoto mbalimbali zinazokikabili kituo hicho ikiwa ni pamoja na kuboresha miundombinu ambayo imeendelea kuharibika.