1,065 Wakamatwa katika msako Dar es Salaam JESHI la Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam limefanikiwa kuwakamata watuhumiwa 1,065 kwa makosa mbalimbali yakiwemo makosa ya unyang’anyi kwa kutumia nguvu. Read more about 1,065 Wakamatwa katika msako Dar es Salaam