Kwa wiki moja migogoro ya ardhi 800 hupokelewa Jumla ya wananchi 800 wenye migogoro ya ardhi nchini hujitokeza kila wiki katika Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi kwa lengo la kutatuliwa migogoro ya ardhi katika maeneo yao. Read more about Kwa wiki moja migogoro ya ardhi 800 hupokelewa