Yanga kuifuata Medeama kesho, yawaacha wanne Kikosi cha Yanga Kikosi cha Yanga kinatarajia kuondoka alfajiri ya kuamkia kesho kuelekea nchini Ghana kwa ajili ya mchezo wa marudiano dhidi ya Timu ya Medeama utakaopigwa Jumanne ya Julai 26 mwaka huu nchini humo. Read more about Yanga kuifuata Medeama kesho, yawaacha wanne