5 Bora Usaili wa Kwanza
Mtangazaji wa Dance100% TBway akiwa amepozikwenye picha ya pamoja "SELFIE" na makundi matano yaliyofanikiwa kuvuka katika usaili wa kwanza wa mashinadno hayo, yaliyofanyika katika viwanja vya Leaders club jijini Dar es salaam
