Timu ya ligi kuu Afrika Kusini yafiwa na mchezaji Nkanyiso Mngwengwe enzi za uhai wake. Mchezaji wa klabu ya Golden Arrows ya nchini Afrika Kusini Nkanyiso Mngwengwe mwenye umri wa miaka 30, amefariki Dunia asubuhi ya leo Mei 18, 2020 huko Durban. Read more about Timu ya ligi kuu Afrika Kusini yafiwa na mchezaji