Zaka Zakazi aweka kauli sawa dhidi ya Simba
Mkuu wa idara ya habari na mawasiliano wa klabu ya Azam Fc(Pichani)amesema kiwango cha timu yao jana kilikua duni kiasi cha kuwakera mashabiki waliojitokeza uwanjani na hata walikua nyumbani,na walicheza kitoto katika mechi ya kikubwa.

