Vilabu vya ligi kuu kunyimwa leseni visipowalipa

Mwenyekiti wa bodi ya Ligi kuu, Steven Mguto

Bodi ya ligi kuu Tanzania bara (TPLB), imesema haitatoa leseni kwa klabu yoyote msimu ujao, ambayo itakuwa inadaiwa na wachezaji, makocha na hata taasisi mbalimbali.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS