Urban Boys waanza 'kushine' Kundi la Urban Boys nchini Rwanda Nyota imeanza kung'ara kwa kundi la Urban Boys ambao hivi karibuni wasanii hao wamelamba dili la kurekodi na kundi nyota la muziki Mafikizolo kutoka nchini Afrika Kusini. Read more about Urban Boys waanza 'kushine'