Wizara kushughulikia madini ya Floride kwenye maji

Katibu mkuu wizara ya maji na umwagiliaji, mhandisi Bashir Mrindoko.

Wizara ya Maji nchini Tanzania imeanza kutekeleza mpango wa kupunguza madini ya Floride katika maji yaliyo na kiwango kikubwa cha madini hayo katika mikoa ya Kaskazini ili kupunguza athari zinazowapata wakazi wa mikoa hiyo kutokana na madini hayo.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS