Sauti Soul kula shavu Afrika Kusini
Kundi maarufu la muziki la Sauti Sol nchini Kenya linatarajia kutumbuiza katika tamasha la utoaji tuzo za muziki za Africa Music Awards litakalofanyika jijini Durban nchini Afrika Kusini tarehe 7 ya mwezi huu wa Juni.