24 wapitishwa uchaguzi Simba, kampeni kuanza leo Kamati ya uchaguzi ya klabu ya soka ya Simba. Kamati ya uchaguzi wa klabu ya soka ya Simba uchaguzi ambao uanataraji kufanyika june 29 mwaka huu hii leo imetangaza majina ya mwisho ya wagombea wa nafasi mbalimbali za uongozi ndani ya klabu hiyo Read more about 24 wapitishwa uchaguzi Simba, kampeni kuanza leo