Yanga yaingia rasmi kambini bila Mkwasa
Kikosi cha Wachezaji 26 wa timu ya Dar es salaam Young Africans kinatarajia kuanza rasmi mazoezi hapo kesho chini ya kocha msaidizi Juma Pondamali mara baada ya kutangazwa kusajiliwa kuitumikia klabu hiyo msimu huu.
