Rais Jakaya Kikwete, waziri mkuu wa Canada Stephen Harper na katibu mkuu wa Umoja wa mataifa Ban Ki-Moon katika mkutano na wanahabari Toronto Canada
Tanzania imefanikiwa kufanikisha lengo la kupunguza vifo vya watoto kama yalivyoainishwa na Umoja wa Mataifa kwa juhudi za Serikali, familia na jamii kwa ujumla.