Wabunge waikomalia bajeti wizara ya ardhi
Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania leo limeendelea na vikao vyake vya bajeti ambapo hoja ya bajeti ya Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi imezua mjadala mzito uliojikita katika migogoro ya radhi iliyopo nchini kwa sasa.