Kikapu Majiji yaanza kutimua vumbi DSM Uwanja wa ndani wa Taifa utakaokuwa mwenyeji wa michuano ya Intercity Michuano ya mpira wa kikapu kwa timu za majiji ya nchi za ukanda wa Afrika Mashariki na kati Intercity inataraji kufunguliwa rasmi hapo kesho (May 6, 2014). Read more about Kikapu Majiji yaanza kutimua vumbi DSM