Mchango wa sekta binafsi ni mkubwa - TPSF
Imeelezwa kuwa mchango mkubwa wa kisera katika uchumi unaofanywa na sekta binafsi unastahili kukuzwa kwa manufaa ya sekta na taifa kwa ujumla.
Mkurugenzi Mtendaji wa taasisi ya sekta binafsi (TPSF) Dkt Godfrey Simbeye, amesema hayo na kufafanua kuwa aushauri wao kisera unaiweka nchi katika mazingira mazuri ya kibiashara.

