Serikali kuboresha utendaji wa mahakama - Kikwete Rais wa Tanzania Dkt Jakaya Mrisho Kikwete. Rais Jakaya Kikwete wa Tanzania amesema serikali inaendelea kuboresha sekta ya sheria kwa kutoa kipaumbele katika ujenzi wa miundombinu na kuongeza idadi ya watendaji wakiwemo majaji wanawake . Read more about Serikali kuboresha utendaji wa mahakama - Kikwete