Goodlyfe wafunika Wikiendi UG
Kundi la muziki la Goodlyfe linaloundwa na Radio pamoja Weasel wamefanikiwa kuweka historia ya aina yake katika onyesho lao la Amaaso-Ntunga lililofanyika mwishoni mwa wiki huko Kampala Uganda, ambapo mastaa kibao na mashabiki walijitokeza kuwasapoti