Wizara yaonya madaktari feki
Wizara ya Afya na Ustawi wa Jamii nchini Tanzania imewaonya watu wanaojiita madaktari na maprofesa bila ya kuwa na sifa hizo huku wakidai kuwa na uwezo wa kutibu magonjwa yasiyotibika ukiwemo ugonjwa wa Ukimwi na kisukari.

