Rais wa TFF akiwa na baadhi ya makocha waliohitimu kozi ya ukocha wa CAF Leseni B.
Rais wa Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF), Jamal Malinzi amewataka makocha wa mpira wa miguu wafanyie kazi kwa vitendo mafunzo wanayopata badala ya kuweka makabatini maarifa waliyopata.