Tiba bure kwa wenye ulemavu wa ngozi - Serikali

Mkurugenzi wa shirika linalotetea maslahi ya watu wenye ulemavu wa ngozi la Under the Same Sun, tawi la Tanzania, Vick Mtetema (kulia), akiwa na meneja uendeshaji wa shirika hilo Gamariel Mboya. UTSS limekuwa mstari wa mbele katika utetezi wa haki za watu wenye ulemavu wa ngozi.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete amesema serikali imetoa muongozo utakaosaidia watu wenye ulemavu wa ngozi yaani Albinism kupata huduma za matibabu bure.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS