Miss Tanga kupatikana kesho Washiriki wa shindano la Miss Tanga 2014 Shindano kubwa kabisa la urembo la Nice and Lovely Miss Tanga 2014, ambalo litafanyika siku ya kesho Mkonge Hotel huko jijini Tanga, linatarajiwa kubarikiwa na Mkuu wa Mkoa, Luteni mstaafu Chiku Gallawa. Read more about Miss Tanga kupatikana kesho