Tanzania bado ina idadi kubwa ya wakimbizi-wizara

Msemaji wa wizara ya mambo ya ndani ya nchi, Isaac Nantanga.

Wakati dunia ikiadhimisha Siku ya Wakimbizi Duniani takwimu zinaonyesha watu wapatao milioni 43 duniani kote wamelazimika kuhama makazi yao kwa sababu ya vita na majanga ya asili.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS