TFF kusaidia kampeni ya afya ya mtoto wa kike

Rais wa TFF Jamal Malinzi na mkurugenzi wa Plan International Tanzania, Jorgen Haldorsen wakisaini makubaliano ya kampeni ya afya kwa mtoto wa kike

Shirika la kutetea haki za watoto la Plan International limeingia ubia na Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) kwa ajili ya kutetea na kuhamasisha juu ya ulinzi wa haki za mtoto hapa nchini

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS