Wamasai wafunga lango la Kreta ya Ngorongoro
Watu wanaosadikiwa kuwa ni wa kabila la wamasai wameziba lango kuu la kuingilia eneo la kitalii katika kreta la Ngorongoro ambalo lipo ndani ya mamlaka ya hifadhi ya Ngorongoro mkoani wa Arusha wakipinga kuendelea kwa ujenzi wa hoteli za kitalii.

