Waandishi watakiwa kupinga sheria kandamizi

Rais wa klabu za waandishi wa habari nchini Tanzania, Kenneth Simbaya.

Waandishi wa Habari nchini Tanzania leo wametakiwa kuungana pamoja kupigania sheria nzuri zinazotoa uhuru wa vyombo vya habari , maslahi mazuri na kuongeza weledi wa taaluma zao.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS