Super Nyamwela afiwa na baba

Mwimbaji na dansa Super Nyamwela

Mwimbaji na dansa wa bendi ya muziki ya Extra Bongo, Super Nyamwela amepatwa na msiba kwa kufiwa na baba yake mzazi Mzee Mussa Mohamedy aliyefariki dunia leo alfajiri nyumbani kwake Namasakata, Tunduru mkoani Ruvuma.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS