Maandalizi ya Gofu JWTZ yakamilika

Maandalizi ya michuano ya mchezo wa Gofu ya kuadhimisha miaka 50 ya JWTZ yameanza kwa wachezaji wa mchezo huo kujinoa katika viwanja vya Gofu vya Lugalo jijini Dar es salaam.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS