Maandalizi Stars Vs Flames yakamilika

Afisa Habari wa TFF, Boniface Wambura

Timu ya Taifa ya Malawi (Flames) imewasili jijini Mbeya tayari kwa mechi ya kirafiki dhidi ya Taifa Stars itakayochezwa Jumapili (Mei 4 mwaka huu) kwenye Uwanja wa Kumbukumbu ya Sokoine.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS