Tanzania kuimarisha ulinzi wa mali na raia
Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa kushirikiana na vyombo vya usalama vya kimataifa imeahidi kuhakikisha usalama wa raia na mali zao ikiwa ni pamoja na kutambua vyanzo vya matukio ya kihalifu na mipango ya kihalifu kabla haijatekelezwa.

